Habari za Punde

*WACHINA WATIA FOLA NA BIASHARA ZA MACHINGA DAR

Raia wa kigeni kutoka China wakiwa katika duka lao la kuuza Yeboyebo mtaa wa Kongo Kariakoo leo mchana wakisubiri wateja. Wachuna hao wamekuwa wakiongezeka siku hadi siku katika Mitaa ya jijini Dar es Salaam, huku biashara zao zikiwa haziridhishi na kumfanya mzawa Mtanzania kuona kwamba kweli Raia kama hawa ni kweli wameingia nchini kihalali kwa ajili ya kufanya biashara na kuishi kihalali nchini. Kama Duka hili hebu Mdau tathmini bidhaa zilizomo katika duka hili na kisha linganisha na wahusika uone na utapata jibu mwenyewe hii ni sawa? ama kuna kazi nyingine hawa wanafanya zaidi ya duka hili?

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.