Mshambuliaji wa timu ya Kundi B, Dafroza Steven, akijaribu kumtoka beki wa timu ya kundi D, Halima Faustine, wakati wa mchezo wa mashindano ya Umiseta yanayoendelea katika Uwanja wa Karume jijini
TWIGA STARS YAFUZU WAFCON 2026 SASA YAKODOLEA MABILIONI YA CAF
-
Timu ya Taifa ya Soka ya Wanawake, 'Twiga Stars', imefuzu fainali za Kombe
la mataifa ya Afrika kwa wanawake (WAFCON) 2026, kwa jumla wa mabao 3-0
dh...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment