Habari za Punde

*MVUA ILIYONYESHA DAR LEO YAZUA KIZAAZAA TANDALE

Magari na raia wakipita kwa tabu katika Barabara ya Tandale, kutokana na mvua kubwa iliyonyesha kwa muda mfupi kuanzia mida ya saa tisa hadi saa kumi na moja jijini Dar na kusababisha barabara hiyo kushindwa kupitika na kufanya msongamano wa magari kuwa mkubwa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.