Habari za Punde

*RAIS,WENYEVITI NA WAKURUGENZI WA KAMPUNI MBALIMBALI ZA NCHINI MAREKANI WAANZA KUWASILI NCHINI KWA AJILI YA KUTENGENEZA DIPLOMASIA YA UCHUMI

  Baadhi ya wageni hao wakikamilisha taratibu mbalimbali katika jengo la
VIP katika uwanja wa KIA.
  Baadhi ya wageni hao wakikamilisha taratibu mbalimbali katika jengo la
VIP katika uwanja wa KIA.
  Wakurugenzi wa kampuni mbalimbali za nchini Marekani wakiwasili jana
usiku uwanja wa ndege wa KIA.
  Rais wa kampuni ya Ahmed's Moving Express,Inc  Ahmed Issa
akizungmza na wanahabari jana usiku baada ya kuwasili katika uwanja wa
KIA.
Mkurugenzi wa kampuni ya kuzalisha umeme ya PIKE Electronic
corporation, J,Eric Pike akizungumza na wanahabari baada ya kuwasili
uwanja wa KIA.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.