Habari za Punde

*SEMINA YA CHANGAMOTO NA NAFASI KATIKA BIASHARA YA MAFUTA YA MAWESE DUNIANI

Ofisa Mtendaji Msaidizi wa Kampuni ya MPOC Dkt. Kalyana Sundram, akiwasilisha mada ya kwanza juu ya kuimarisha bidhaa za vyakula kwa bara la Afrika katika semina iliyofanyika kwenye Hotel ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es Salaam.

Ofisa Mkuu Mtendaji Msaidizi wa MPOC Dkt. Kalyana Sundram akibadilishana mawazo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mjini Mh.Mohammed Dewji mara baada ya semina kumalizika.

Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa MPOC, Faudzy Asrafudeen, ofisa Mtendaji Mkuu wa MPOC Dkt. Kalyana Sundram na ofisa Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya East Coasts Oils and Fats Kampuni Tanzu ya MeTL, Vijay Raghavan kwa pamoja wakifuatilia semina hiyo.

Baadhi ya Wadau waliohudhuria katika Semina ya MPOC iliyokuwa ikizungumzia biashara ya Masoko na nafasi mbalimbali kwenye Mafuta ya Mawese Bara la Amerika na Afrika.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mjini Mh. Mohammed Dewji (kushoto) na Ofisa Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya East Coasts Oils and Fats Kampuni Tanzu ya MeTL, Vijay Raghavan (katikati) wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na Viongozi wa MPOC kutoka Malaysia kwenye Hotel ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es Salaam.

Bidhaa zinazotokana na Mafuta ya Mawese zikiwa zimetandazwa kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.