Labda watoto hawa ndoto yao siku za mbeleni ni kuwa wavuvi wakubwa na ndiyo maana mida ya kuwa Darasani wao hutoroka na kuelekea Ziwani Ziwa Nyasa na kuiba Moja ya mitumbwi inayokuwa ufukweni hapo na kuanza safari ya kupiga misele ndani ya Ziwa hilo.
Hawa ni wanafunzi wa Darasa la Saba katika Shule ya Msingi Mndanda iliyopo Wilayani Ludewa Mkoa wa Iringa wakipiga misele Zinwani kuvua Dagaa ikiwa ni sehemu ya yasaka fedha za kusaidia kulipia michango ya mitihani kiasi cha Sh. 600 kwa kila mwanafunzi ambazo ni kwa ajili ya maandalizi ya chakula cha walimu wasimamizi wa mitihani hiyo. "Wadau Hii imekaa sawa"???.Picha na Francis Godwin, Iringa
No comments:
Post a Comment