Habari za Punde

*KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO NI WIZARA YA NISHATI NA MADINI

 Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (katikati) akisabahiana na kuteta jambo na Mbunge wa Jimbo la Sumve, Richard Ndassa (kulia) na Kushoto ni Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Anan, wakati wakiwa nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo mchana. Waziri Ngeleaja leo 
 amewasilisha Bajeti ya Wizara yake ya Mapato na Matumzi. Picha na Magreth Kinabo -MAELEZO

Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akijadiliana jambo na baadhi wa wabunge mara baada ya kuwasilisha hotuba yake ya Makadirio ya Mapato na Matiumizi ya Fedha ya Wizara hiyo kwa mwaka 2011/2012 Bungenimjini Dodoma leo .

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.