Habari za Punde

*KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Viongozi wa Tanzania Media Fund (TMF) wakifuatilia kwa umakini bajeti ya wizara ya  Kilimo,  Chakula na Ushirika  wakati waziri wa wizara hiyo Jummanne Maghembe (hayupo pichani) alipokuwa akiisoma leo  bungeni mjini.
Mbunge wa Kilwa  Kusini kupitia  chama cha CUF Selemani Bungara akichangia hoja kuhusiana na masuala ya kilimo katika jimbo lake mara baada ya waziri wa wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Jummanne Maghembe (hayupo pichani) kuwasilisha bujeti ya wizara hiyo leo bungeni mjini Dodoma .
Waziri wa  Kilimo, Chakula na Ushirika  Prof. Jummanne Maghembe akisoma bajeti ya wizara hiyo leo mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.