Habari za Punde

*MAANDALIZI YA MAONYESHO YA NANE NANE MBEYA YADORORA

 Kiwanja cha maonyesho ya kilimo cha John Mwakangale Mbeya, kikiwa hakina dalili za kuwapo kwa maonyesho hayo yanayotarajia kuanza rasmi Agost 1, ambayo hufanyika kila mwaka tofauti na miaka mingine ambapo tarehe kama hizi huwa tayari na shambra shambra za maonyesho hayo.
 Hili ndilo Banda la Kilimo la Wilaya ya Chunya ambalo pia ni miongoni mwa mabanda yanayotarajia kushiriki katika maonyesho hayo. 

Baadhi ya Mabanda ambayo tayari yamekamilika tayari kusubiri kuanza kwa maonyesho hayo. 


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.