Habari za Punde

*HILI SI DISCO VUMBI BALI NI DISCO POVU

 Baadhi ya wapenzi wa burudani ya Disco 'Club', wakipagawa na miondoko ya disco katika moja ya ukumbi wa Club uliopo nchini Dubai, wao si Disco Vumbi kama katika baadhi ya Club nyingine za naniliu bali wao ni Disco Povu, hapa wakiwa katikati ya Dimbwi kubwa la Povu, ambalo hujaa na kuwafunika huku wao wakiendelea kusebeneka kwa kila aina ya muziki. 
 Sebene linaendelea katikati ya Povu hilo kama kawa......
 Hapa ni kupagawa hadi mwisho......
Hata mijibaba hii ilikuwa imepagawa vilivyo na povu hilo....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.