Habari za Punde

*MAFUNZO YA WALIMU WA AWALI YALIYOANDALIWA NA KAMPUNI YA UCHAPISHAJI VITABU NCHINI LONG MAN

 Muwezeshaji wa Kampuni ya Pearson Long Man Tanzania  inayojihusisha na uchapaji wa Vitabu vya  shule za awali na vyuo nchini, Maria Ellokelo, akiendesha mafunzo kwa walimu  waliohudhria mafunzo ya siku tatu ya uwezeshaji wa shule za awali jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Walimu wa shule za awali kutoka jijini Dar es Salaam waliohudhuria mafunzo ya siku tatu ya Uwezeshaji wa Walimu wa awali  wa shule za Msingi yanayoendelea  katika Taasisi ya Elimu Tanzania  wakijifunza kwa vitendo. Mafunzo hayo yamedhaminiwa na  kampuni ya uchapishaji wa vitabu nchi ya Pearson Long Man.
 Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku tatu ya Uwezeshaji wa Walimu wa shule  za msingi jijini Dar es Salaam, wakijifunza kwa Vitendo katika mafunzo yaliyowashirikisha jumla ya Walimu 90 yakiwa yamedhaminiwa na Kampuni ya Uchapishaji wa Vitabu Nchi ya  Pearson Long Man.
 Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku tatu ya Uwezeshaji wa Walimu wa shule  za msingi jijini Dar es Salaam,wakijifunza kwa Vitendo katika mafunzo yaliyowashirikisha jumla ya Walimu 90 yakiwa yamedhaminiwa na Kampuni ya Uchapishaji wa Vitabu Nchi ya  Pearson Long Man.
 Mmoja wa Walimu  kati ya 90 waliohudhuria mafunzo  ya siku tatu ya Uwezeshaji  wa walimu wa shule za msingi jijini Dar es Salaam,Getruda John (kushoto) akimwonyesha Mratibu wa Elimu ya awali Clarence Mwinuka, kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi jinsi walivyojifunza kwa vitendo. Wa pili (kulia)  ni Ofisa mwandamizi  wa Mauzo na Masoko wa  kampuni ya Long Man, Belinda Mafuru.  
Ofisa mwandamizi  wa Mauzo na Masoko wa  kampuni ya Long Man Tanzania inayojihusisha na uchapaji wa Vitabu nhini, Belinda Mafuru, akimfafanulia jambo Mratibu wa Elimu ya awali, Clarence Mwinuka, kutoka Wizara ya Elimu na Mfunzo ya Ufundi wakati alipohudhuria katika Mafunzo ya siku tatu ya uwezeshaji wa Walimu wa shule za awali na  shule za Msingi jijini Dar es Salaam yaliyodhamniniwa na Long Man Tanzania.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.