Habari za Punde

*'MSAADA TUTANI' KIJANA AMEPOTEA MSAADA KWA ATAKAYEMUONA


"Mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa blog yenu hii na nyinginezo, hivyo naomba msaada kupitia blog yako hii kumtafuta kijana ambaye ni ndugu wa staff mwenzangu amepotea tangu juzi, kwa kuwa watu wengi sasa wanafuatilia na kuangalia blog naamini kwa kutoa tangazo kwenye blog yako inaweza kusaidia kumpata naomba uniwekee hili tangazo kwenye blog yako na kama una mawasiliano na blog nyingine yeyote pia tafadhali na mungu akubariki na ahsante sana. 

Namtafuta kijana wa Mfanyakazi mwenzangu aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha tangu juzi, naombeni msaada kwa yeyote atakayekuwa na taarifa za kupatikana kwa kijana wa aina hii basi awasiliane na namba za simu za mmiliki wa Blog hii ambazo zipo hapo juu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.