Habari za Punde

*MWALIMU JOSEPH NA NDOTO ZA ALENACHA KUISHI KATIKA NYUMBA YENYE HADHI YAKE

Mwalimu wa shule ya Msingi Mchuchuma ambayo imejengwa eneo yalipo madini ya mchuchuma na Liganga wilaya ya Ludewa,  Joseph Thomas (58) akipozi nje ya nyumba yake anayoishi akiwa katika hadhi ya mwalimu anayetegemewa na shule hiyo inayotegemewa na kijiji hicho na hasa ukizingati shule hiyo ina jumla ya walimu wawili tu na wote wakiwa ni wa kiume ambao hufanya kazi zote hata na zile zilizotakiwa kufanywa na walimu wa kike kama kuwasaidia wanafunzi wa kike wanaougua ghafla shuleni hapo. Picha na Francis Godwin, Iringa
 Mwalimu Joseph, akipozi nje ya dirisha la moja ya darasa analofundisha shuleni hapo.
 Mwalimu Joseph, akitoka katika maliwato yaani Choo katika maeneo ya nyumbani kwake.

Hili ni darasa la tano ambalo pia hutumiwa na wanafunzi wa darasa la sita katika shule hiyo.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.