Habari za Punde

*MAPACHA WA3 WAFANYA MAKAMUZI IRINGA

 Waimbaji na wanenguaji wa bendi ya Mapacha wa3 ya jijini Dar es Salaam, wakiigiza kumnywesha dawa ya Loliondo kwa Babu mwenzao Kalala Junior wakati walipofanya onyesho lao mkoani Iringa jana na kuwapagawisha mashabiki wao wa mkoani humo.
Baadhi ya mashabiki waliojitokeza kuhudhuria onyesho hilo la Mapacha wa3, wakisebeneka na miondoko ya bendi hiyo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.