Habari za Punde

*MTANDAO WA KUNYONYA KAZI ZA WASANII WATIWA NGUVUNI DAR

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama (kulia) akihijiwa na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari baada ya kufanikiwa kumkamata mmoja kati ya watuhumiwa wa mtandao wa kundi la wanyonyaji wa kazi za wasanii, aliyetambulika kwa jina Mwakwi Yahya, aliyekamatwa pamoja na mwenzake Francis Kamalamu, waliokamatwa maeneo ya Ubungo Maziwa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita. Picha na Blog ya Othman Michuzi
Mtuhumiwa aliyekamatwa akiwa katika kazi ya kudublicate kanda za wasanii, Mwakwi Yahya, mkazi wa Mabibo jijini Dar es Salaam, akionyesha sehemu tu ya kanda hizo baada ya kukamatwa nazo na kufikishwa katika Kituo cha Polisi Urafiki

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.