Habari za Punde

*MASHINDANO YA 'AIRTEL RISING STARS' KUANZA KUTIMUA VUMBI KESHO DAR

 Meneja Mahusiano wa Kampuni ya simu za mkononi za Airtel Tanzania, Jacskon Mmbando (wa pili kushoto) akimkabidhi mpira, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Azania, Bernard Ngozya, kwa ajili ya tumu yake kushiriki katika michuano ya 'Airtel  Rising Stars' inayoanza kesho Jijini Dar es Salaam, baada ya kuzinduliwa rasmi hivi karibuni na aliyekuwa mchezaji nyota wa zamani wa timu ya Manchester United, Andy Cole kutoka nchini Uingereza. Katikati ni Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, sunday Kayuni (kushoto) ni Ofisa Masoko wa Airtel Tanzania, Rahma Mwapachu. 
 Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo.
Meneja Mahusiano wa Kampuni ya simu za mkononi za Airtel Tanzania, Jacskon Mmbando (katikati) akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa mkutano wa Ofisi za Shirikisho la Soka nchini TFF leo mchana, ambapo pia ilichezeshwa droo maalum kwa ajili ya kupanga makundi na ratiba ya michuano hiyo. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Sunday Kayuni (kulia) ni Ofisa Masoko wa Airtel Tanzania, Rahma Mwapachu. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.