Habari za Punde

*NEEMA MTITU ATWAA TAJI LA MVODACOM MISS EXCELLENCE 2011

Vodacom Miss Excellence out 2011, Neema Mtitu, akipunga mkono baada ya kutangazwa mshindi katika shindano lililofanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Kinondoni jijini Dar es Salaam, paha akiwa na washindi wenzake mshindi wa pili Weirungu David (kushoto) na mshindi wa tatu Neema Saimoni.
Miss Excellence aliyemaliza muda wake akimvisha taji Vodacom Miss Excellence OUT 2011 Neema Mtitu.
Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe, akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 6,030,000 Vodacom Miss Excellence out 2011, Neema Mtitu, baada ya kutangazwa mshindi.
Mshindi wa pili wa Vodacom Miss Excellence 2011 Weirungu David akipokea Hundi yenye thamani ya shilingi milioni 6,030,000 kutoka kwa Makamu mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Afrika Kusini katika shindano lililofanyika viwanja vya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe akiwampongeza Vodacom Miss Excellence Out 2011 Neema Mtitu kushoto ni mshindi wa pili Weirungu David na mshindi wa tatu Neema Saimoni.
Vodacom Miss Excellence OUT 2011 Neema Mtitu akipunga mkono baada ya kutangazwa mshindi kwa kuwabwaga warembo wenzake 10.
Hawa ndiyo warembo watano Bora katika shindano hilo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.