Habari za Punde

*SANAA YA MIKONO YETU

Picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Picha hizi ukiondoa sura zimenakshiwa kwa kutumia mabamba ya Mgomba wa ndizi ambayo yameunda na kuonyesha sehemu ya vazi. 
Hii ni moja kati ya kazi za mikono ya wanasanaa wetu wa hapa nchini, watukuzwe na kupewa sapoti ili waweze kufika mbali na kimataifa zaidi katika kutangaza kazi zao.
 Picha ya Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.