Habari za Punde

*SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI MISS KINONDONI 2011 LAFANYIKA DAR


Ofisa Udhamini wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude,(kulia) akimwangalia mrembo Fatma Pongwe, anayeshiriki katika kinyang'anyiro cha kumskaka Miss Kinondoni 2011, wakati akichora mnyama aina ya Twiga katika shindano la kusaka vipaji lilofanyika jana jioni kwenye kumbi wa Hoteli ya Giraffe.Vodacom Tanzania ndiyo wadhamini wakuu wa shindano la Miss Tanzania.  


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.