Habari za Punde

*DAR MORDEN TARAB KUANZA MASHAMBULIZI YA KILA JUMANNE COPAKABANA NYAMALA NA LANGO LA JIJI J-5


BENDI ya Taarabu ya Dar Morden Taarabu ya jijini Dar es Salaam, imeanza ratiba yake ya kufanya onyesho kila jumanne katika ukumbi wa Kabakabana uliopo Mwananyamala.

Akizungumza na Reporter wa mtandao huu Michael Machellah, Mkurugenzi Mtendaji wa kundi hilo, Tx Mridu Ally, alisema kuwa wameamua kufanya onyesho hilo la kila jumanne katika ukumbi huo ili kuweza kurudisha burudani karibu na mashabiki wao wa pande hizo.

Aidha aliongeza kuwa kundi pia litakuwa likitoa burudani kila jumatano katika ukumbi wa Lango la Jiji uliopo Magomeni, ikiwa ni sehemu ya kuwatambulisha wanamuziki wao wapya, Omary Sultan na Twaha Mohamed.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.