Habari za Punde

*SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA ANNE MAKINDA AKUTANA NA UJUMBE WA BUNGE LA UGANDA WALIOFIKA KUJIFUNZA SHUGHULI ZA BUNGE LA TZ

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akizungumza jambo na Ujumbe wa Wabunge wa kambi ya upinzani waliofika Bungeni kujifunza namna Bunge letu linavyo fanya kazi hasa kwa kushirikisha kambi ya Upinzani. Picha na Owen  Mwandumbya
 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda, akimkabidhi zawadi ya Mvinyo unaotengenezwa Dodoma na ambao ni maarufu sana Duniani ukitambulika kama  ( Presidential Wine - Reserve) kiongozi wa Ujumbe wa Wabunge wa kambi ya upinzani kutoka Bunge la Uganda Mhe. Atim Cecilia Ogwal, baada ya kuonanan nao Ofisini kwake mjini Dodoma leo.
Wabunge hao wapo Bungeni kujifunza namna Bunge letu linavyo fanya kazi hasa kwa kushirikisha kambi ya Upinzani. Picha na Owen  Mwandumbya

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkabidhi zawadi ya Mvinyo unaotengenezwa Dodoma na na ambao ni maarufu sana Duniani unaotambulika kama  ( Presidential Wine - Reserve) kiongozi wa Ujumbe wa Wabunge wa kambi ya upinzani toka Bunge la Uganda.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.