Habari za Punde

*ULIOKUWA UWANJA WA TIMU YA GARATASALAY WAVUNJWA

Huu ndiyo uliokuwa Uwanja wa timu ya Garatasaray inayoshiriki ligi za Ulaya, ukiwa umevunjwa tayari kwa eneo hili kujengwa majengo mengine ambayo yatatumika kwa shughuli nyingine za kijamii nchini Uturuki katika jiji la Istanbul.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.