Habari za Punde

*MRISHO NGASSA KATIKA JAMVI MOJA NA FABIO, ROONEY NA RIO FELDINAND WA MAN U

 Mshambuliaji wa timu ya Azam Fc na Taifa Stars, Mrisho Ngassa (kulia) akiwania mpira na beki wa Manchester United, Rio Feldnand, wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa baina ya timu ya Seattle Sounders ya Marekani iliyomchezesha Ngassa kama mchezaji mwalikwa aliyecheza dakika 15 na kufanya mambo makubwa yaliyomvutia kila shabiki wa soka aliyekuwapo uwanjani hapo jana. Katika mchezo huo Manchester United ilishinda mabao 7-0. Picha na Mtandao wa Seattle Soundera 
Mrisho Ngassa akichuana kuwania mpira na Fabio wa Man U wakati wa mchezo huo uliochezwa jana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.