Habari za Punde

*NAIBU MHARIRI WA NEW HABARI (2006) LTD DANNY MWAKITELEKO APATA AJALI MBAYA DAR

Mhariri wa Gazeti la Rai, ambaye pia ni Naibu Mhariri wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, Danny Mwakiteleko (Pichani) akiwa amelazwa katika wodi ya wagonjwa mahututi ICU Muhimbili baada ya kuapata ajali juzi usiku wakati akirudi nyumbani kwake maeneo ya Tabata Dar es Salaam na kusababisha majeraha na maumivu katika sehemu ya kichwani. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.