Habari za Punde

*WAREMBO 11 KUPANDA JUKWAANI LEO KUWANIA TAJI LA MISS KANDA YA KATI


Washiriki 11 wa Shindano la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki wanaotarajia kupanda jukwaani hii leo katika ukumbi wa Hotel ya Oasis wakiwa katika picha ya pamoja wakiwa katika kambi yao ya mazoezi iliyopo Hoteli ya Usambara mjini Morogoro. Kampuni ya MD Digital Company ni moja kati ya wadhamini wa shindano hilo ambapo itamzawadia mrembo atakayeibuka kidedea na kuvishwa taji la Miss Photogenic katika shindano hilo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.