Habari za Punde

*BREAKING NEEEEZ, DAVID JAIRO 'OUT' ASIMAMISHWA KAZI LEO

 Picha ya Kukopi katika moja ya gazeti, Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo, amesimamishwa kazi rsmi leo kufuatia kutangazwa rasmi habari hizo na Katibu Mkuu Kiongozi, Phillemo Luhanjo wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo mchana. 
Katibu Mkuu, Phillemon Luhanjo, akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo mchana ambapo alitangaza rasmi kusimamishwa kazi na kupewa rikizo yenye malipo, kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo, kufuatia kashfa zinazomuandama hivi sasa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.