Habari za Punde

*WAUMINI WA DINI YA KIKRISTO SONGEA KATIKA IBADA YA KIPAIMARA

 Mwalimu wa dini (katekista) wa Kanisa Kathoriki la SONGEA, Xaver Huma, akiwa amembeba mwanafunzi wa darasa la tano Shule ya msingi Kibulang'oma Manispaa ya Songea, Thadei Nali, ambaye ni mlemavu wa miguu kuingia katika kanisa hilo kwa ajili ya kushiriki ibada ya misa  ya kipaimara katika kanisa ilo iliyofanyika  hivi karibuni mjini Songea.

Kiongozi wa kwaya( kwaya master) wa Kanisa Kuu la Jimbo la Songea, Lucy Mgeni,ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya sekondari ya wasichana Songea (songea girls) akiwaongoza waumini wa kanisa ilo kwenye ibada ya kipaimara  iiyofanyika wiki iliyopita mjini Songea. Picha na Muhidin Amri, Songea

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.