Habari za Punde

*BONANZA LA POOL LAFANA MEEDA JANA

Mchezaji wa Pool wa Mkoa wa kimichezo wa Kinondoni, Ally Akida akicheza na mpinzani wake Ally Akbar wa Temeke wakati wa Bonanza la Mikoa mitatu ya Dar es Salam lililofanyika na kuandaliwa na Mkoa wa Kinondoni Meeda Sinza jana. Katika mchezo huo Ally Akida alishinda.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.