Habari za Punde

*MTOTO ALIYEZALIWA MAHABUSU AENDELEA KUSOTA MAHABUSU NA WAZAZI WAKE

Mtoto Azra, akiwa amepakatwa na Baba yake mzazi akiwa na Mama yake mzazi wakati walipokuwa nje ya Mahabusu ya Mahakama Kuu jijini Mbeya wakati walipofikishwa kwa ajili ya kusikiliza kesi yao inayowakabili kwa kukutwa na madawa ya kulevya.
Mtoto Azra, akiwa amepumzika kwa usingizi akiwa amepakatwa na mzazi wake Mahakamani hapo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.