Je Kazi ya Askari wa Usalama Barabarani ni pamoja na kumkamata dereva kama wa gari hili ama la? kwani kama picha hii inavyoonekana Askari wa Usalama Barabarani akiwa upande wa Kulia, akilishangaa tu gari hili lililosheheni mzigo uliozidi uwezo wa gari huku likienda upande na kuhatarisha usalama wa magari mengine yanayopishana nalo katika barabara ya Tunguu mjini Zanzibar hivi karibuni.
DKT. MWIGULU AHIMIZA MAANDALIZI YA ELIMU 2028, MKUTANO WA IQEC 2026
-
*Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza kwenye hafla ya ufunguzi wa
Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Ubora wa Elimu, yaani International Quality
Edu...
9 hours ago

No comments:
Post a Comment