Menu

▼

Thursday, April 12, 2012

*HATARI LAKINI SALAMA, NINI KAZI YA ASKARI WA USALAMA BARABARANI?

Je Kazi ya Askari wa Usalama Barabarani ni pamoja na kumkamata dereva kama wa gari hili ama la? kwani kama picha hii inavyoonekana Askari wa Usalama Barabarani akiwa upande wa Kulia, akilishangaa tu gari hili lililosheheni mzigo uliozidi uwezo wa gari huku likienda upande na kuhatarisha usalama wa magari mengine yanayopishana nalo katika barabara ya Tunguu mjini Zanzibar hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment