Habari za Punde

*AMINA ISMAIL NA SIMOM COLLERY WAMEREMETA

 Bibi Harusi ambaye ni mdogo wake na Mwndishi wa Gazeti la Tanzania Daima, Dina Ismail, Amina Ismail akiwa katikapicha ya pamoja na mumewe, Simon Collery na baadhi ya wanafamilia kwa furaha katika Ufukwe baada ya kufunga ndona yao mwishoni mwa wiki iliyopita, katika Hoteli ya  Atriums, na kufuatiwa na bonge la sherehe iliyofanyika katika hoteli hiyo hiyo. Kulia ni Dina Ismal Dada wa Bi Harusi.
 Picha ya pamoja na wanafamilia wakati wa sherehe hiyo katika Ukumbi wa Hoteli ya Atriums
 Amina akilia kiapo wakati wakifungishwa ndoa na mumewe, Simon.
Bonge la Keki la aina yake likisubiri kukatwa na wapendanao hao.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.