Habari za Punde

*MISS CHANG'OMBE WAANZA KUJIFUA, KUPANDA JUKWAANUNI JUNI 9 MWAKA HUU QUALITY CENTRE

 Meneja wa Kampuni ya King Promotors, inayoandaa shindano la Miss Chang'ombe, Teddy C. Chilala (kulia) akimwandaa mwalimu wa warembo hao wanaotarajia kushiriki shindano hilo, Vumilia Willbload (wapili kulia) huku naye akimmekap mmoja wa warembo, Miriam Ntakisivya, kabla ya kuanza mazoezi madogomadogo ya 'Cat Walk' katika Ukumbi wa TCC Chang'ombe jana. Warembo hao ni miongoni mwa warembo watakaopanda jukwaani Julai 9, mwaka huu kuwani Taji la Miss Chang'ombe na baadaye Miss Temeke na Hatimaye Miss Tanzania.
 Baadhi ya Warembo hao wakijiremba kabla ya kuanza mazoezi jana.
 Mrembo Miriam Ntakisivya, akipita kwa mwendo wa kimiss wakati wa mazoezi yao.
 Warembo Miguu bwana kama unavyochek hapa!!!!!!
 Mwalimu wa Warembo hao, Vulimia Willbload (kulia) akianza mafunzo kwa baadhi ya warembo hao waliofika siku ya jana kwa kuwaeleza kanuni za urembo na Heshima ya Mrembo ili kujitambua na kujiheshimu.
Hawa ni baadhi ya warembo watakaoshiriki shindano hilo, kutoka (kushoto) ni Flora Robert (19), Flora Kazungu (20), Deborah Denis (23), Miriam Ntakisivya (20) na Jesca Haule 18), wakipozi kwa picha.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.