Habari za Punde

*WANAFUNZI WA WILAYA YA NAMTUMBO RUVUMA WALIA NA UHABA WA MADARASA

''MAWAZIRI NA MARAIS WA KESHO WATATOKA HAPA''
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Selous wa Darasa la Sita, wakiwa darasani wakiendelea na kipindi na mwalimu wao anayeonekana mbele akiwafundisha. Tatizo la madarasa katika Wilaya ya Namtumbo ni moja ya sababu inayoathiri kushuka kwa kiwango cha elimu Wilayani humo. Picha na Mpiga Picha Wetu





No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.