Habari za Punde

*MAXIMO KUTUA JUMATANO KUSAINI MKATABA YANGA


Miongoni mwa mambo na mapendekezo aliyoyataja Kocha huyu mpya anayekuja kukisuka kikosi cha Wanajangwani, Maximo, ni pamoja na kuwahitaji baadhi ya wachezaji katika kikosi chake akiwamo Mrisho Ngasa na wengineo. Kocha huyo anatarajia kuwasili nchini siku ya jumatano kwa ajili ya kukamilisha taratibu zote zilizosalia za kusaini mkataba wa kuifundisha timu ya Yanga. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.