Eneo la kupata moja baridi na moja moto, Nyama choma, Supu aina zote, vyakula vya kila aina, Chips na burudani ya muziki unaokurudisha enzi zile za kina naniliu. unaweza kupata kutoka eneo hili la Mdau Kajunason mzee wa Mtandao wa Kajunason Blogspot, lililopo eneo la Kinondoni Biafra Block 41.
KAMPUNI ya Azam Media Group imezindua kampeni maalumu inayojulikana kama
'MENU IMEKAMILIKA'
-
KAMPUNI ya Azam Media Group imezindua kampeni maalumu inayojulikana kama
'MENU IMEKAMILIKA'
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya uzinduzi wa kamp...
14 minutes ago
No comments:
Post a Comment