Habari za Punde

*UJENZI WA NJIA YA MABASI YAENDAYO KASI UNAZIDI KUSHIKA KASI JIJINI DAR

 Ujenzi uanendelea, kama ambavyo eneo hili linavyoonekana likiwa limeshachimbwa tayari kwa kumwagwa zege.
 Eneo hili la katikati  kati ya barabara ya kushoto na kulia ndilo linalochimbwa na kujengwa njia hiyo ya magari yaendayo kasi.
 Ujenzi unaendele mahala hapa..
Ujenzi wa Njia ya Mabasi yaendayo kasi unaendelea katika Barabara ya Morogoro, hapa ni maeneo ya Manzese ambapo tayari eneo la katikati ambalo hua huachwa kama sehemu ya bustani limekwishachimbwa na kuanza kujengewa kwa zege.

1 comment:

  1. Thank you for sharing!!!

    Với dịch vụ order hàng Nhật người tiêu dùng Việt Nam có thể đặt mua các mặt hàng nhật nội địa trên trang Amazon Nhật một cách đơn giản và dễ dàng. Ngoài ra, dịch vụ còn giúp mua hàng trên Amazon Đức, Mỹ tốt nhất hiện nay.

    ReplyDelete

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.