Redds Miss Tanzania 2012, Brigter Alfred (katikati) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Bia nchini
TBL, ROBIN GOETZSCHE, wakati mrembo huyo alipofanya ziara kiwandani hapo
na kuzungumza na mkurunzi mkuu na wakurugenzi wote wa kiwanda hicho (kulia) ni
mkurugenzi wa masoko wa TBL Kushila Thomas.
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Bia Nchini TBL, ROBIN GOETZSCHE (wa pili kushoto) akiwa katika
picha ya pamoja na wakurugenzi wenzake wa kiwanda hicho, na Redds Miss
Tanzania Brigiter Alfred (katikati) ambapo aliweza pia kupata chakula cha mchana na
wafanyakazi wa kiwanda hicho.
No comments:
Post a Comment