Habari za Punde

*SWAHILI FASHION WEEK NDANI YA GOLDEN TULIP HOTEL

Meya wa Manispaa ya Ilala Mh Jerry Silaa akiwa katika Red Carpet ya Swahili Fashion Week iliyofanyika Jana ndani ya Hotel Ya Golden Tulip
Mmiliki wa Lukaza Blog, Josephat Lukaza Akiwa kwenye dhuria jekundu la Swahili Fashion Week 2012 Iliyofanyika Jana Katika Hotel ya Golden Tulip
 
 Marting Kadinda akiwa amebeba Tuzo yake Baada ya Kuibuka MShindi huku akishangiliwa na Models wake.
  Mmiliki wa Missie Popular Blog akiwa na Tuzo yake mara baada ya blog yake kuibuka mshindi wa fashion Blog.
Best East Africa Modal- Joseph Kimeu.


Baadhi ya wadau waliohudhuria kushuhudia mashindano hayo ya Swahili fashion Week 2012 yaliyofanyika Ndani ya Hotel ya Golden tulip Usiku wa Jana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.