Rais Jakaya mrisho kikwete, Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini na Rais Hifikepunye
Pohamba wa Namibia pamoja na Katibu Mkuu wa SADC Dr.Tomaz
Salomao. na Mawaziri wa nchi hizo wakipitia rasimu ya muhtasari wa kikao
kabla ya kuanza kwa kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena
jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya mrisho kikwete, akikaribisha viongozi wenzie wa nchi za SADC katika
kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
leo.
Rais Jakaya mrisho kikwete, katika picha ya pamoja na viongozi wenzie wa nchi
za SADC katika kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena
jijini Dar es salaam leo.
No comments:
Post a Comment