Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo. Mazungumzo hayo yamefanyika leo katika Ukumbi
wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Watendaji katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi, wakiwa katika Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) katika utekelezaji wa kazi
za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar. Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.
No comments:
Post a Comment