Habari za Punde

*MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2013

Matoke ya Darasa la Saba yametangazwa hivi punde hivi punde na mwaka huu ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 30.72 mwaka jana mbaka asilimia 50.61 mwaka huu kutokana na wanafunzi walio fanya mtihani mwaka huu wa darasa la saba wamefaulu zaidi ukilinganisha na wanafunzi wa mwaka jana Kaimu mtendaji wa Baraza la Mtihani Charles Msonda amesema ufauru katika masomo yote umepanda kwa asilimia kati ya 6.01 na 28.06 ukilinganisha na mwaka 2012 Mwaka huu watainiwa wamefahulu zaidi katika somo la Kiswahilin kwa asilimia 69.06 na somo walilio faulu kwa kiwango kidogo zaidi ni somo la Hisabati wamefaulu kwa asilimia 28.62 Msonda amesema jumla ya watahiniwa 427,606 kati ya 844,938 walio fanya mtihani huo wamepata alama ya 100 kati ya alama ya 250 idadi hiyo nisawa na asilimia 50.61

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

PSLE-2013 EXAMINATION RESULTS

BOFYA JINA LA MKOA KUPATA JINA LA MTOTO ANAKOTOKA

2 comments:

  1. info on this blog is very helpful to us in making a new blog, and a tight handshake Greetings from our Obat Penggemuk Badan , thank you

    ReplyDelete

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.