Habari za Punde

*BREAKING NEEEEEWZ!!!! RAIS JAKAYA AZUNGUMZA NA WANAHABARI BAADA YA KUTUA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kuwasili nchini akitokea nchini Marekani kwenye Matibabu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.