Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kuwasili nchini akitokea nchini Marekani kwenye Matibabu.
No comments:
Post a Comment