HABARI ZILIZOUFIKIA MTANDAO HUU HIVI PUNDE ZINASEMA KUWA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI, MAGRETH ZZIWA, AMENG'OLEWA RASMI KATIKA NAFASI HIYO NA KUTEULIWA MBUNGE MWANAUME, KUSHIKA NAFASI HIYO KWA MUDA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA CHRISS OPOKA, KUTOKA UGANDA. KIKAO HICHO KINAENDELEA HIVI SASA JIJINI NAIROBI. KAA NASI NASI KUKULETEA HABARI KAMILI YA TUKIO HILI BAADAYE.
Magazeti : Pitia Hapa Vichwa vya Habari vya Magazeti ya Leo ; 11:09:2025
-
Wazalendo 25 Blog , is a Social Media which gives our Audience current
News, Entertainment and Advertisemen...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment