Menu

Wednesday, November 26, 2014

*BREAKING NEEEEEWZ!!!, SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI ANG'OLEWA

HABARI ZILIZOUFIKIA MTANDAO HUU HIVI PUNDE ZINASEMA KUWA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI, MAGRETH ZZIWA, AMENG'OLEWA RASMI KATIKA NAFASI HIYO NA KUTEULIWA MBUNGE MWANAUME, KUSHIKA NAFASI HIYO KWA MUDA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA CHRISS OPOKA, KUTOKA UGANDA. KIKAO HICHO KINAENDELEA HIVI SASA JIJINI NAIROBI. KAA NASI NASI KUKULETEA HABARI KAMILI YA TUKIO HILI BAADAYE.

No comments:

Post a Comment