Beki wa timu wa Azama Fc, Erasto Nyoni, akiwa amelala chini hoi akihuzunika baada ya timu yake kushindwa kuibuka na ushindi dhidi ya Tanzania Prisons, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Azam Complex Chamaz. Katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana 0-0. Kwa matokeo hayo sasa Azam imebaki katika nafasi ya pili ikiwa na pointi 27 nyuma ya Yanga wenye pointi 31.
DC Mpogolo Awapongeza Walimu kwa Kazi Kubwa ya Kuandaa Viongozi
-
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewapongeza walimu kwa kazi kubwa
wanayoifanya katika jamii, akisema ni nguzo muhimu katika ujenzi wa taifa
...
5 days ago

No comments:
Post a Comment