Habari za Punde

*CHEKI HAPA GOLI YA NGASSA LILILOMPUMZISHA KAZI KIPA WA MBEYA CITY, STAIL MPYA YA USHANGILIAJI, NGASSA NA TEGETE

Uongozi wa Klabu ya Mbeya City, umemsimamisha kazi kipa wake aliyedaka katila mechi ya juzi kati yao na Yanga kwa madai eti amechoka.

Akihojiwa na Radio One kiongozi wa timu hiyo alisema kuwa kipa huyo hajafukuzwa kazi bali amepumzishwa kutokana na mechi nyingi alizocheza ambazo huenda ndizo zimemsababishia kufungwa bao la kizembe na Mrisho Ngassa katika mchezo wao uliopia, huku timu yake ikichapwa mabao 3-1.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.