Kiungo mahiri wa zamani wa Simba Sc, aliyewahi kutamba na Club hiyo mwanzoni mwa mwaka 2000, CHRISTOPHER ALEX, amefariki dunia mchana wa leo kwa kile kilichoelezwa kuwa alikuwa akisumbuliwa na kifua.
Mchezaji huyo atakumbukwa zaidi na wana Zamalekh, na hasa kwa mkwaju wake wa penati aliopiga na kuwavua ubingwa wa Afrika.
Pumzika kwa amani mwanandinga wetu, Christopher Alex, amina.

No comments:
Post a Comment