Makamau wa Rais waJamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Mkutano Mkuu wa tano wa Jumuiya
ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika, uliofanyika
leo Mei 25 kwenye Hoteli ya Bahari
Beach, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki waliohudhuria mkutano huo, wakimsikiliza
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia, kufungua rasmi
mkutano wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa
Barani Afrika, uliofanyika leo kwenye Hoteli ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akifurahia jambo na baadhi ya
Viongozi wakati wa ufunguzi wa mkutano huo,uliofanyika leo kwenye Hoteli ya
Bahari Beach jijini Dar es Salaam. KWA PICHA ZAIDI BOFYA READ MORE
Baadhi ya washiriki waliohudhuria mkutano huo, wakimsikiliza
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia, kufungua rasmi
mkutano wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa
Barani Afrika, uliofanyika leo kwenye Hoteli ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki waliohudhuria mkutano huo, wakimsikiliza
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia, kufungua rasmi
mkutano wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa
Barani Afrika, uliofanyika leo kwenye Hoteli ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki
wa mkutano huo baada ya kufungua rasmi leo kwenye Hoteli ya Bahari Beach jijini
Dar es Salaam.

Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru,
Dkt. Edward Hosea, baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa tano wa Jumuiya ya
Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika, uliofanyika leo
Hoteli ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki waliohudhuria mkutano huo, wakisimama kuimba wimbo wa taifa.

Dkt. Hosea akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais.
Picha Tata.......

No comments:
Post a Comment